Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Pengine ni nyodo za kutikisia kiberiti tu hizo.Wakuu kwema?
Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.
Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.
Thread tayari.
Embu mbane, ifanye hiyo kama kesi, yaani umhonge ama uhusishe watu wengine kumshawishi, uone kama atachomoa.
Na siku ukimpata, uje umlale bila stress, ili usije kujikojolea mapema kipumbaf pumbaf kwa hasira zitokanazo na kauli za manyanyaso.
Maana nyodo sazingine huweza kumsababishia mtu premature ejaculation, ile hasira ya ...'na siku nikimpata'... Sasa umempata kweli umepanic, unaishia kukojoa ka'kuku.
Ukisha tulia mtubishe hayo maneno yake uone atavyoishia kucheka cheka tu.
Maneno hayo hayana uhalisia, ila ilikuwa ni njia ya kukupandisha mumkari wa mapenzi ili ujae, kama ulikuwa haujui saikolojia za wanawake.