Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume.

Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo.

Kama unaweza, unaweza kuweka office yako ensuite, uweke na kitanda, unagawa sehemu ya meza na sehemu ya wagen.
Biashara ina stress sana, kama umeichukulia ndiyo ajira yako kuu unapochoka unaweza kupumzika kwa masaa mawili mchana na ukaendelea na kazi.

Huwa ninalala mchana nikishaona mambo yanakwenda vizuri. Huwa ninaamka saa kumi alfajiri kuhakikisha mtu wa nyama amekwenda machinjioni na wa chapati ameanza kukanda unga.

Nyama ikifika ninakwenda soko ni kununua matunda. Ninakata matango, zabibu na nanasi ninafunuka na cling film sahani sh 5,000 .
 
Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume.

Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo.

Kama unaweza, unaweza kuweka office yako ensuite, uweke na kitanda, unagawa sehemu ya meza na sehemu ya wagen.
Biashara ina stress sana, kama umeichukulia ndiyo ajira yako kuu unapochoka unaweza kupumzika kwa masaa mawili mchana na ukaendelea na kazi.
"Morning Prayer"
 
Wenzetu wachina na wahindi huwa anapofanyia kazi ndo hapo anapoishi, ikifika saa 6 mchana wanakula na kulala masaa mawili matatu, wakiamka wanaoga na kuanza kazi,

Hasa wachina wako hivyo,

Ndo maana hawachoki wala kuzeeka [emoji108][emoji108][emoji108]

Sijui kwanini sisi wanongo tunaishi mbali na sehemu za kazi zetu [emoji87][emoji87][emoji87]

Ukianza safari ya kwenda au kutoka kazini peke yake yaweza kuleta stress [emoji108][emoji108]

Wa kwanza kuamka alfajiri sana na wa mwisho kufika ngumbani na wa mwisho kulala na hayo yanakuwa ndo maisha kila Mwaka Januari hadi December [emoji108][emoji108]

Watoto Shule wanasoma day mbaliiii

Ni determination tu
 
Back
Top Bottom