Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume.
Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo.
Kama unaweza, unaweza kuweka office yako ensuite, uweke na kitanda, unagawa sehemu ya meza na sehemu ya wagen.
Biashara ina stress sana, kama umeichukulia ndiyo ajira yako kuu unapochoka unaweza kupumzika kwa masaa mawili mchana na ukaendelea na kazi.
Huwa ninalala mchana nikishaona mambo yanakwenda vizuri. Huwa ninaamka saa kumi alfajiri kuhakikisha mtu wa nyama amekwenda machinjioni na wa chapati ameanza kukanda unga.
Nyama ikifika ninakwenda soko ni kununua matunda. Ninakata matango, zabibu na nanasi ninafunuka na cling film sahani sh 5,000 .