Kwa wenye kujua hili msaada tafadhali

Kwa wenye kujua hili msaada tafadhali

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
561
Reaction score
135
Habarini za wakati huu? Ndugu zangu tokea jana nikijaribu kuongeza muda kwenye simu yangu ya Airtel naambiwa SERVICE TIME OUT. Hii inawezakuwa na maana ganai wajemeni au simu yangu ndo kwisha habari yake?
 
Mkuu bulama Airtel mtandao unasumbua na wameshatoa taarifa kuhusu hili.. Nafkir leo hii watalimaliza kama bado inasumbua ni vyema ukanunua salio kupitia Airtel Money
 
Last edited by a moderator:
Uza simu kalipie sanduku la barua posta mkuu.
Kodi za sim card kwanza zinarudi mda si mrefu. Wameweka kiini macho tu kwa sasa.
 
Nilitaka niweke kamiatano kangu ka kutumia mwezi huu. Kumbe watakakata?
Uza simu kalipie sanduku la barua posta mkuu.
Kodi za sim card kwanza zinarudi mda si mrefu. Wameweka kiini macho tu kwa sasa.
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu. Airtel money mzee duu! sijawahi hata kuitumia.

Back
Top Bottom