Habarini za wakati huu? Ndugu zangu tokea jana nikijaribu kuongeza muda kwenye simu yangu ya Airtel naambiwa SERVICE TIME OUT. Hii inawezakuwa na maana ganai wajemeni au simu yangu ndo kwisha habari yake?

Mkuu bulama Airtel mtandao unasumbua na wameshatoa taarifa kuhusu hili.. Nafkir leo hii watalimaliza kama bado inasumbua ni vyema ukanunua salio kupitia Airtel Money