Kwa wenye Magari. Sport Rim tunazishobokea ila hazipendezeshi gari.

Sports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,

Kwa uelewa wako hizo ndio gari pekee unazoona sio Sports?
 
images.jpeg
 
Unasemaje kuhusu gari ambazo si 'sports' na zimekuja na original sports rims toka Japan?
Zimekaa kiande tu, gari inayonoga sports rims ni yenye mkunjo mzuri wa body sio zile gari ndogo shapeless kama vits,ist,passo,swift n.k. Na kwa uzoefu wangu gari zinazobeba atleast 18" rims ndio zinakuwaga bab kubwa sana. Angalia gari kama mark x, brevis, Crown na station wagon kama Kluger, Escudo new model zile, Land cruisers;Prado,Vx, Lx zote zinakaaga mwake sana.
 
Basi wasingekuwa wanaweka hata rim caps! Kupendeza kwa sports rims kunachangiwa na vitu vingi, rangi ya gari,size ya rim ,pattern ya spokes , ride height na mwisho kupendeza ni relative.
At least umegusa napopataka, kuna gari hazipendezei kabisa kuwa na sport rims. Imagine gari kama Noah hata uweke rims nzuri kiasi gani still haitakaa poa. Iko na height sana halafu size ya tires ni ndogo. Haitowaka kama ukitia same sport rims kwa Toyota Opa, ama Caldina
 
Sio kweli. Sijawahi kuina gari ambayo haipendezi ikiwekwa sports/aftermarket rim. Suala liko kwenye kuchagua tu, ukichemka kuchagua gari itaonekana kituko hata iwe Mercedes benz. Rim ni aina fulani ya usanii ambao ni lazima pia anayekuuzia ajue kukushauri kitu kitakachopendeza kulingana na gari yako na unavyopenda
 
Halafu kwa taarifa yako haziitwi Sport rims zinaitwa Alloy wheels
 
Sporrs rim zinaenda na low profile tyre ss wabongo wengi wanatumia tairi standard wanaweka rim sports mvuto unakua hakuna..
 
Back
Top Bottom