Kwa wenye matatizo na mifumo ya majitaka

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Nitangulize shukrani zangu na heri ya Christmas na mwaka mpya kwa wanajukwaa.
Kwa kawaida watz wengi tumekua tukijenga au kuplan kujenga bila kuwa na plan ya management ya majitaka.Kiukweli majitaka yana nafasi kubwa sana katika ubora wa makazi na afya kiujumla.
Nipunguze maneno, kwa wewe unplan kujenga,au umeshajenga, tuna kampuni tunauza mifumo mbalimbali ya kutibu majitaka,kuanzia nyumba ya kuishi, mashule,viwanda n.k
Pia tunatibu majitaka yalichafuliwa kibiolojia I.e biological polluted,yaliyochafuliwa kikemikali I.e chemically polluted na physically polluted
Tuna mifumo mbalimbali mfano, Biodigesters,ABR,AUSB,Anaerobic Filters n.k tuna experience ya tangu mwaka 2013.
Karibu sana
0742 266 266
Screenshot_20211230-211740_Gallery.jpg
 
0742 266 266 View attachment 2063089
Hivi kweli mfumo huu haujai!??? Mfano kwangu ni udongo wa mfinyanzi hasa yaani haupitishi wala kunyonya maji hata kidogo shimo kubwa linachukua miezi 8 hadi 10 linajaa na kuita gari la kunyonya tena yaani karaha kweli kweli, sasa kwa sehemu kama hii huu mfumo unafaaa??

Je mnfanyaje kama kuna mtu anatumia mfumo huu na yuko sehemu kama yangu ya mfinyanzi amefanikiwa hukaa hata miaka mitatu bila shimo au mfumo huu kujaa naomba anipe ushahidi ili nami niutumie kwangu maana nina wasiwasi kama kangu hapa huu mfumo utafaa. Napokea ushauri pia wa nn nifanye kusaidia kuepuka huu hii kadhia ninayopitia.
 
Back
Top Bottom