sosoliso JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 8,540 Reaction score 9,473 Oct 28, 2010 #1 Tafadhali..kwa wale wote wapendao maendeleo..na wanaotaka kuleta mageuzi..ingia katika site ya tume ya uchgazi..na kuangalia jina lako. Ni rahisi tu..ingia katika website ya tume..www.nec.go.tz
Tafadhali..kwa wale wote wapendao maendeleo..na wanaotaka kuleta mageuzi..ingia katika site ya tume ya uchgazi..na kuangalia jina lako. Ni rahisi tu..ingia katika website ya tume..www.nec.go.tz
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Oct 28, 2010 #2 Yaa mkuu nimeona details zangu so nipo kama kawa ntacheki na za wife nikue DR wa ukweli tayari ana KURA 2
Yaa mkuu nimeona details zangu so nipo kama kawa ntacheki na za wife nikue DR wa ukweli tayari ana KURA 2