Elections 2010 Kwa wenye matatizo ya kutoona majina yao

Elections 2010 Kwa wenye matatizo ya kutoona majina yao

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,540
Reaction score
9,473
Tafadhali..kwa wale wote wapendao maendeleo..na wanaotaka kuleta mageuzi..ingia katika site ya tume ya uchgazi..na kuangalia jina lako. Ni rahisi tu..ingia katika website ya tume..www.nec.go.tz
 
Yaa mkuu nimeona details zangu so nipo kama kawa ntacheki na za wife nikue DR wa ukweli tayari ana KURA 2
 
Back
Top Bottom