FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
1.washa simu kisha washa data.
2.Bonyeza settings.
3.Bonyeza apps.
4.kisha zitakuja app nyingi ulizodownload,sasa anza na zile zenye mb nyingi kama WhatsApp, unaibonyeza
5.Bonyeza storage.
6.Bonyeza clear data.kisha sema OK.
Halafu back unaingia app nyingine,ukifanya app tano nafasi utapata ya kutosha,hii inafuatia kumuona Dada Wema Sepetu akilalamika na kununua card kwa ajili ya nafasi.