Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Wana jukwaa,
Mara nyingi huwa najiukiza swali sipati jibu labda kwa kuwa sio mtaalamu wa haya mambo ya intelligence.
Hivi Rais anapokuwa katika ziara za kikazi au binafsi nje ya Nchi-anatumia njia gani kuhakikisha nafasi yake aipinduliwi?
Unakuta Rais anatumia mwezi 1-2 nje ya Nchi, mfano Mkapa alipokwenda kufanyiwa upasuaji kule switzerland alikaa karibu mwezi na kitu.Pia Rais Paul Biya wa Cameroon naye alienda matibabu katumia karibu miezi 3. Bado kuna Marais wetu wa kiafrika huenda Ulaya na kukaa huko karibu wiki nzima.
Jamani hili jambo huwa nafikiria sipati majibu, au naye huwa anakwenda lakini anakuwa hana uhakika kama atakikuta kiti chake salama?