🙏🙏🙏Habari
Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi
Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya kuagiza gari
Utaweza kuagiza gari Toka nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani
Unaweza agiza Toka kampuni tofauti tofauti kama vile Toyota Nissan na Subaru
Pia tutakusaidia kwenye usajili wa gari lako
Karibu
0686153806
OZB BE FORWARD AGENT
Hapana hiyo total haitosh maana unapaswa ujumlishe na Kodi ya tra na Bado kuna gharama zingine kama insurance na clearance and to forwardingNapenda kufahamu jambo moja vizuri zaidi, bei inayoonekana kwenye website kama befoward sbtjapan n.k mfano gari ni 5M na makadirio ya gari husika kutoka TRA kwa mujibu wa ile calculator ya ushuru wa magari used mfano nayo kwa gari husika ni 5M tafsiri yake ni kuwa nikiagiza gari nikiwa na hiyo total hapo inatosha kunifanikishia kupata gari hadi mkononi na usajili kabisa au kuna gharama nyengine tofauti?
Unamiliki sheli??Naomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Mkuu Kwa new movie del Bei yake inaanzia milioni 200 lkn Bado Kwa hela Yako unaweza PATA gar Zur lkn model ya zamani kidogoNaomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Naomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Mkuu ukihitaji isiyozidi MILIONI 35 ninaweza tafutaNaomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Hahahahahahahaha Sina shida ndogo ndogoUnamiliki sheli??
Sawa, mpaka November ntakuwa na hiyo pesaMkuu ukihitaji isiyozidi MILIONI 35 ninaweza tafuta
Mwambie Dubai unamiliki visima aachane na hivi vikombe vya mafutaHahahahahahahaha Sina shida ndogo ndogo
Outlander mbona cheap unapata kama vipi angalia na RVR za 2010-2011 bei zake izo gari nzuri ileNaomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Kaka kama unazungumzia TOYOTA RAV4 2011 plus Kodi zote ni 42MOutlander mbona cheap unapata kama vipi angalia na RVR za 2010-2011 bei zake izo gari nzuri ile
Mkuu sorry nimeionaOutlander mbona cheap unapata kama vipi angalia na RVR za 2010-2011 bei zake izo gari nzuri ile
Nimekupata japo kwenye huo mfano wangu kodi ya tra nimeiongelea ukirejea ujumbe vizuri ambapo niliweka mfano bei ya gari 5M na bei ya kodi 5M, kwahiyo baada ya total hizi ndo inasalia ishu za clearing and forwarding kwa mujibu wa jibu lako mkuu au sio? Na gharama za clearing and forwarding hizi nazo zinategemea gari husika au zikoje?Hapana hiyo total haitosh maana unapaswa ujumlishe na Kodi ya tra na Bado kuna gharama zingine kama insurance na clearance and to forwarding
No gharama za clearance and forwarding zinategemea na agent mwenyewe ingawa most of them gharama zao ni 250,000Nimekupata japo kwenye huo mfano wangu kodi ya tra nimeiongelea ukirejea ujumbe vizuri ambapo niliweka mfano bei ya gari 5M na bei ya kodi 5M, kwahiyo baada ya total hizi ndo inasalia ishu za clearing and forwarding kwa mujibu wa jibu lako mkuu au sio? Na gharama za clearing and forwarding hizi nazo zinategemea gari husika au zikoje?