Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

Hapana hiyo total haitosh maana unapaswa ujumlishe na Kodi ya tra na Bado kuna gharama zingine kama insurance na clearance and to forwarding



Gharama ya insurance na clearance nazipataje?Mimi nilidhani ukishalipa tra habari imeisha
 
Kwa stile hii kuagiza gari toka nje n ghari sana bara kununua kwa wabongo hapa
Mo mkuu ukiweza kulipia tra tpa na insurance ni simple halafu ni Vizur ukapat mtu anayekuelekeza
 
Naomba kuoneshwa namna ya kupata auction sheet na kuifanyia analysis ili kujua gari unayonunua iko kwenye hali nzuri na kwamba haitasumbua. Nataamani Subaru Forester SJH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…