$200Ulikuwa na kiasi gani?
XBINARY ni kampuni inayojihusisha na uwekezaji wa mtandaoni. Kwamba unafungua account kama unavyofungua acount ktk mitandao ya kijamii afu unawekeza. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni dola kumi ambapo ukishawekeza wanakuwa wanakupa asilimia mbili kila siku kwa siku tano za kazi kila wiki na wanafanya hivyo kwa siku 100 hivyo mpaka muda unaisha utakuwa umepata mara mbili ya kile ulichowekeza. Ina ofa mbalimbali kama ikitokea ukawekeza dola mia, elfu au ukiingiza mtu.Mkuu hiyo XBINARY na M WALLET ndio kitu gani? Tafadhali nipe elimu kidogo
Ndo nishapoteza hivyo. Kweli mbuzi wa masikini hazaiUtapeli.Kama huwezi toa faida hiyo ni dalili kuu ya utapeli.
Mkuu walianza lin hiyo biashara yao ( x-binary) na ww tangu uanze nao mna muda gan mpaka sasaWakuu, nikiwa mmojawapo kati ya wale wanaojihusisha na XBINARY kwa siku za karibuni imekuwa ngumu kutoa hela M-wallet. Na hii imetokea baada ya kuwa kwenye matengenezo ila hali hii imeendelea kuwapo hata baada ya matengenezo kuisha.
Hii inaweza kuwa inaashiria nini ? Au ndo kusema tumetapeliwa??!!
Walianza kama sikosei Nev. 2016 mi nimejiunga Feb 26 2017Mkuu walianza lin hiyo biashara yao ( x-binary) na ww tangu uanze nao mna muda gan mpaka sasa
Yametimia....amka songa mbele....Walianza kama sikosei Nev. 2016 mi nimejiunga Feb 26 2017
Kuamka ndo inakuwa shida mkuu.. wameniacha hoiYametimia....amka songa mbele....
Hauna jinsi sababu umekwenda kinyume na Rule No.1.Kuamka ndo inakuwa shida mkuu.. wameniacha hoi
Haya bhana!Hauna jinsi sababu umekwenda kinyume na Rule No.1.
"Do not invest the money that you can not afford to loose"....
XBINARY ni kampuni inayojihusisha na uwekezaji wa mtandaoni. Kwamba unafungua account kama unavyofungua acount ktk mitandao ya kijamii afu unawekeza. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni dola kumi ambapo ukishawekeza wanakuwa wanakupa asilimia mbili kila siku kwa siku tano za kazi kila wiki na wanafanya hivyo kwa siku 100 hivyo mpaka muda unaisha utakuwa umepata mara mbili ya kile ulichowekeza. Ina ofa mbalimbali kama ikitokea ukawekeza dola mia, elfu au ukiingiza mtu.
M-wallet ndo sehemu zile asilimia mbili zako zinakuwa zinawekwa. Hela zilizo katika waleti hii unaweza kuzitoa kumtumia mtu alojiunga, kuzihamishia B-Wallet au kuziweka bitcoin wallet yako. Njia ya kuziweka Bitcoin wallet ndo nzuri kwani unaweza kuzitoa kupitia Bitpesa na kupokea hela yako mpesa. Kwa sasa kiwango cha chini cha kutoa hela m-wallet ni dola tano. Hata hivyo kuanzia wiki ilopita imekuwa ngumu kutoa hela kwenye hii wallet jambo ambalo limeleteleza kuleta uzi humu kwani naamini wapo wenye kujua zaidi.
NB:
B-WALLET hapa ndo zile hela unazopata kama ofa zinawekwa. Huwezi kuzitoa kwenda Bitcoin, huwezi kuzihamishia M-wallet bali unaweza kuzituma kwenye account ya mtu mwingine anayetaka kuwekeza au kutunisha account yake nae akakurushia hela yako kulingana na bei ulomuuzia Mpesa.
Sina hamu na cryptocurrencyUmeshaliwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasubiria na wa Bitcoin na wao waliwe
Hakuna namna yoyote unaweza toa hela ulowekeza. Mpaka ile inayozaliwa napo kwa sisi tuliojiunga zamani hatuwezi toa hela kwa namna yoyote ile. Zipo km namba tuXBINARY is a registered company in UK - where are you based, you can claim back your refund; hujapoteza - if you dont want to participate you can withdraw your deposit (T and Cs applied)
Nisaidie mkuu niipate hela yangu kama inawezekana. How can I claim it?XBINARY is a registered company in UK - where are you based, you can claim back your refund; hujapoteza - if you dont want to participate you can withdraw your deposit (T and Cs applied)
Nisaidie mkuu niipate hela yangu kama inawezekana. How can I claim it?
Nilifungulia kwenye simu.where are you based? na wapi ulifungulia account ya XB ?