Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Sina hamu na cryptocurrency
Kuna mtu uku alinitukana kuhusu haya mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hamu na cryptocurrency
Hahaa, msamehe bureKuna mtu uku alinitukana kuhusu haya mambo.
Binary Trade on line nani kafanikiwa nayo.Nimewapigia km watatu hivi wanadai ukishaiweka huwezi kuitoa. Mwingine kanambia hii kampuni haiaminiki tena kwani nae hajui hatma ya pesa zake
Binafsi sijaonaBinary Trade on line nani kafanikiwa nayo.
Luna utapeli mwingi kwenye online businesses. Kayla hujajiunga Tanya utafiti wa kutosha, pamoja na lini hiyo business imeanzishwa, na faida inayotolewa. Ukiona faida ni kubwa, kaa mbali nayo. Nyingi zinakuwa zile zinazoitwa "Ponzi schemes"Walianza kama sikosei Nev. 2016 mi nimejiunga Feb 26 2017