Kwa wenye ujuzi na XBINARY

Kwa wenye ujuzi na XBINARY

Walianza kama sikosei Nev. 2016 mi nimejiunga Feb 26 2017
Luna utapeli mwingi kwenye online businesses. Kayla hujajiunga Tanya utafiti wa kutosha, pamoja na lini hiyo business imeanzishwa, na faida inayotolewa. Ukiona faida ni kubwa, kaa mbali nayo. Nyingi zinakuwa zile zinazoitwa "Ponzi schemes"
 
Watu wengi wamekuwa wakichanganya bitcoin na kampuni za upatu za online kwasababu tu zinatumia bitcoin. iko hivi hizi kampuni zinatumia Bitcoin just as amode of transaction exchange tu, kama zilivyo other ways kama perfect money, payeer, paypal nk.

So kuna kampuni wanaziita hyip yaani high yield investment program ambazo husema uinvest kiasi fulani cha pesa kisha utatengeneza faida kila siku labda 5% lakini hawa huwa matapeli kampuni husurvive wiki moja mpaka miezi 3 kisha kampuni kukimbia na pesa za watu, kwa sababu njia wanayotumia kulipa ni kupitia bitcoins basi watu hufikiri bitcoin ni scam.


kwa nini huchagua bitcoin as amode of payment???
kama nilivyo eleza Mwanzo bitcoin haiko centralized means mimi naweza fungua online wallet nikatumia tu username then nikatumia hata bitcoin zenye thamani ya billions of money na within a short of time ukaipata bila bank kuu au serikali kujua nani katuma au nani kapokea na imekwenda wapi so ina privacy.

lakini pia bitcoin ni njia rahisi sana kwa ajili ya kufanya malipo online unahitaji account ya online wallet tu kisha unaanza kunua bitcoin kwa urahisi tu hata kwa kwa mpesa kupitia wakala kisha ukaituma popote unapotaka tofauti ungetumia bank ingekuwa process za kupa visa card, kisha ujaze form kwa ajili ya kutumia online nk. ndio manasas online bitcoin ndio inatamba.

for more details you can call 0713774746
 
Back
Top Bottom