MalaikaMweupe
Member
- Feb 24, 2009
- 72
- 18
Nikiwa naanza kazi tu,nilipata kazi yenye mshahara mkubwa,sikuwa na shida ya pesa,nikiwa bado nakaa home. Niliweza kuwasaidia member wa familia yangu kwenye shida zao.Lakini sasa,nilikuwa na boyfriend aliyenigeuza Atm, nilikuwa namlipia kodi ya nyumba na mavazi yake, akanitapeli hadi nikampa pesa akaongeza na kwenda USA,huwezi amini alinisahau baada ya miezi 3!