health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyo hitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene kupita kiasi (obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI).
Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako. Vipimo hivi ni kama ifuatavyo:
Jinsi ya kupima BMI yako
Kanuni ya BMI hutumia uzito wa mtu pamoja na urefu wake. Uzito wa mtu hupimwa katika kilograms (kg) na urefu wake katika mita (m) au sentimita (cm). Ikumbukwe pia kuwa mita moja ni sawa na sentimita 100 na mita² = mita x mita.
[TABLE="width: 387"]
[TR]
[TD]Category[/TD]
[TD]BMI range – kg/m[SUP]2[/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Emaciation[/TD]
[TD]less than 14.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Underweight[/TD]
[TD]from 15 to 18.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Normal[/TD]
[TD]from 18.5 to 22.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Overweight[/TD]
[TD]from 23 to 27.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Obese[/TD]
[TD]from 27.6 to 40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morbidly Obese[/TD]
[TD]greater than 40
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
BMI (kg/m[SUP]2[/SUP]) = Uzito katika kilograms/Urefu katika meters². Maana yake ni kwamba ili kuweza kupata BMI itakayokuwezesha kujifahamu kama u mnene ama la, chukua uzito wako gawa kwa kipeo cha pili cha urefu wako.
Tatizo la unene uliopitiliza husababishwa na nini ?
Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha unene uliopitiliza. Mambo hayo ni pamoja na
1. Vyakula vya mafuta - Ulaji wa vyakula venye mafuta mengi au calories nyingi.
2. Kutofanya mazoezi - Wale wasiofanya mazoezi mara kwa mara huwa wanene tofauti na wale wanaofanya mazoezi.
3. Kurithi viashiria vya asili (genes) - Viashiria hivi vinaweza kuwa moja ya vichocheo vya kuongeza uzito kwani ndivyo huamua wapi mafuta
huhifadhiwa mwilini na kwa kiwango gani. Lakini haimanishi kuwa mtu akiwa navyo basi ndio atakumbwa na tatizo hili.
4. Umri - Watu wengi huongezeka uzito au hunenepa kadri umri unavyoongezeka kwa sababu wanakuwa hawajishughulishi sana (less active) na huwa wanapungua maumbile ya miili yao (muscles mass)
5. Matatizo ya kisaikolojia - Wakati mwengine watu wenye matatizo ya kisaikolojia au msongo wa mawazo (stress) huwa na tabia ya kula sana, matokeo yake ni kunenepa.
6. Dawa - Baadhi ya dawa zenye madhara ya kuongeza unene ni kama corticosteroids, blood pressure medications, tricyclic medications na kadhalika.
7. Matatizo ya afya - Baadhi ya magonjwa yanachangia kuongezeka kwa uzito au kenenepa kama cushings syndrome, hypothyroidism, osteoarthritis na kadhalika
Vihatarishi vya tatizo la unene wa kupitiliza
Aidha yapo mambo kadhaa ambayo yanaweza kumuhatarisha mtu kupata unene wa kupitiliza. Mambo haya ni pamoja na
1. Kukua kwa uchumi wa nchi - Wananchi wengi wanaoishi kwenye nchi zilizoendelea au wenye kipato kikubwa ndio wanaopata tatizo hili kutokana na kuishi mfumo wa maisha ya kivivu na hali ya kutokufanya mazoezi (sedentary lifestyle).
2. Historia ya kuongezeka uzito uliopitiliza kwenye familia nayo yaweza kuhatarisha mtu kupata tatizo hili. Aidha, si jambo la kushangaza
kuona karibu familia nzima au wengi wa wanafamilia kuwa wanene kupitiliza.
3. Kutojishughulisha na chochote (inactive).
4. Kupenda kula sana kuliko kawaida (overeating).
5. Kula vyakula vya mafuta mengi
6. Kutumia dawa zenye madhara ya kuongeza uzito uliopitiliza.
7. Kuwa na ugonjwa wa vichocheo mwilini (hormonal disorders) kama cushing syndrome, hypothyroidism.
8. Kuwa na msongo wa mawazo au kuathirika kisaikolojia.
Magonjwa yanaoweza kuambatana na tatizo la unene uliopitiliza
1. Kisukari
2. Shinikizo la damu (hypertension)
3. Kiharusi (St roke)
4. Magonjwa ya moyo
5. Tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini (Sleep apnea)
6. Vijiwe katika mfuko wa nyongo (Gallstones)
7. Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol ikiwemo triglycerides)
8. Ugonjwa wa mifupa kama yabisi (osteoarthritis).
9. Saratani ya matiti
10. Saratani ya tezi dume (prostate cancer)
11. Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (Colorectal cancer)
Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu kama vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins)
Tiba ya kuongezeka unene kupita kiasi
Tiba ya tatizo hili ni mhusika kujitambua ya kwamba ana tatizo na kuwa tayari kupunguza uzito. Mabadiliko ya tabia ya mhusika ni muhimu sana, mabidiliko haya yawe ndio mfumo wa maisha yake ya kila siku.
Kupungua uzito na kujilinda au kutunza uzito ulionao baada ya kupunguza uzito ni jambo la msingi sana na inahusisha mazoezi, chakula na madiliko ya tabia ya mtu.
· Mabadiliko ya tabia - Hii inahusisha muhusika kupunguza kiwango cha chakula anachokula lakini kiwe chenye virutubisho vyote muhimu vya afya na kuongeza kiwango cha ufanyaji mazoezi.
· Mazoezi - Mazoezi husaidia kupunguza uzito hasa kipindi cha miezi sita ya mwanzo na hutunza uzito uliokusudiwa kwa muda mrefu. Pia hupunguza mafuta ya mwilini, huongeza ufanisi wa moyo, hupunguza tatizo la shinikizo la damu (hypertension), na kuweka sukari katika kiwango kinachohitajika mwilini.
Kama hujazoea kufanya mazoezi ni vizuri uanze taratibu na ujiwekee lengo kwa kufanya mazoezi kwa muda wa nusu saa kila siku, siku tano kwa wiki,(dakika 30 kila siku kwa siku tano kwa wiki). Mazoezi mazuri ni kama kuogelea, kuendesha baiskeli, kutembea, kunyanyua vitu vizito (visiwe vyenye uzito mkubwa), mazoezi ya viungo na kadhalika.
Kama mtu ni mnene sana basi ni bora kuzungumza na daktari wako kabla ya kuanza mazoezi mapya. Baada ya kuanza mazoezi kwa mara ya kwanza, mwili utakuwa na maumivu, hii ni kawaida lakini kama mtu atapata maumivu zaidi ya masaa 2 baada ya kufanya mazoezi ni vizuri kumuona daktari.
Chakula
Msingi wa kupunguza uzito au unene ni kujua ni kiwango gani cha calories mwili wako unahitaji kwa siku ili uwe unakula chakula ambacho hakitazidisha au kupunguza kiwango cha calories unazohitaji kwa siku.
Mlo mzuri ni ule ulio na matunda kwa wingi, mboga za majani, nafaka ambazo hazijakobolewa, mafuta kidogo (less saturated fat). Vyakula vengine ni kama mayai, nyama isiokuwa ya mafuta (lean meat), samaki, kuku na vingineyo.
Tiba ya upasuaji
Kuna aina nyingi za upasuaji ambao unasaidia kupunguza uzito aina hizi ni kama gastric banding, gastric bypass (Roux-en-Y-procedure), liposuction. Kabla ya kufanyiwa upasuaji, muhusika atahitaji kupimwa kisaikolojia (psychological testing) na kupewa ushauri nasaha kwani tiba hii pia ina madhara yake.
Wanawake ambao wana uzito wa kupitiliza (obese women) wakiwa wajawazito wako kwenye hatari ya kupata madhara yafuatayo;
· Kisukari cha mimba (Gestatitional diabetes) - kisukari hiki kinatokea wakati wa ujauzito na hupotea baada ya kujifungua mtoto.
· Shinikizo la damu (hypertension)
· Shinikizo la damu wakati wa ujauzito pamoja na kifafa cha mimba (pre-eclampsia & eclampsia)
· Kuzaa kwa njia ya upasuaji (caesarean section)
· Tatizo la kiumbe kutopata hewa vizuri wakati wa ujauzito (fetal distress)
Unaweza pia kupunguza uzito wako kwa kupata lishe iliyoandaliwa kiasilia na isiyo na madhara yoyote kiafya. Lishe hiyo inakuwezesha kupungua kwa kuendana na matakwa yako na ni nzuri sana kwa wale ambao hawana muda wa kutumia njia ngumu kwa ajili ya kuupunguza mwili au wale waliokwishajaribu kufanya hivyo kutokana na uvivu wakashindwa. Fuatilia kwa makini lishe husika hapo chini:
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, na mikononi wanawake.
Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
KAZI YA MAGILIM
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
Utendaji kazi wa Golden six;
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;
FAIDA ZA GOLDEN SIX
Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-

- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, na mikononi wanawake.
Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
- Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
- Inaondoa cholesterol
- Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
- Ina faty Acid
- Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
- Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
- Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
- Inafanya damu kuwa nyepesi
- Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
- Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
- Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
- Mishipa ya hisia
- Figo
- Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
- Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;
- Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
- Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
- Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
- Kuhisi uchovu
- Kutokwa na jasho sana
- Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;
- Kupoteza kumbukumbu
- Kutoona vizuri
- Misuli kukosa nguvu
- Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
- Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
- Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.
FAIDA ZA GOLDEN SIX
- Stroke(kupooza)
- Kukosa usingizi
- Kupoteza kumbukumbu
- Kuumwa na viungo
- Kusafisha damu
- Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
- Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake