Kwa wenye utimamu wa akili tu

Kwa wenye utimamu wa akili tu

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Katika maisha ukishafikia umri wa kuoevuka kibiolojia ni lazima utalazimika kutimiza matakwa ya kibiolojia.

Kuna umri fulani ukifikia hujaoa ama hujaolewa ni lazima utaanza kujiona ni mwenye hatia hivyo kuwa na Shauku ya kutaka kuoa ama kuolewa,hii huwatokea watu wanaoishi kwa mantiki na wamelelewa katika morals si kwa kila mtu.

Ukikuta mtu anatimilifu huo na haoni hatia basi mtu huyu ameshaathirika kisaikolojia kulingana na mazingira anayoishi,au makundi aliyonayo,au alishakutwa na tukio katika mahusiano yake hasa kuachwa ghafla na mtu ambaye alikuwa na malengo nae,hii imewaathiri wanawake wengi sana.

Utimamu wa akili humfanya mtu atambue wakati na jambo ktk wakati.
 
Back
Top Bottom