Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya August ninachotaka kufahamu ni je naweza kusafiri 60 days before program state date?
Je kwenye pot of entry wake jamaa wa immigration hawawezi kuzingua kwamba nimeenda mapema sana?