The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sawa lakini utokaji wake ukojeFaida haizidi 2000 kwa mfuko
Mkuu ulipo sema ninanukuu (Mfuko Kwa reja reja ni Kati ya 1000 Hadi 1500 ) Je umekusudia kila mfuko hiyo ndio faida yake?au ndio bei ya uuzwaji wake kila mfuko wa simenti?Utokaji wake unategemea na sehemu biashara ilipo. Ikiwa ni maeneo ambayo yameendelea tayari mzigo utakuwa hauendi Sana mfano Duka liwe Mikocheni Ila Duka likiwa kisemvule, chamazi mzigo utatoka sana.
Unaweza kuanza na gari moja Ila nakushauri usiuze cement yenyewe weka na bidhaa nyingine za ujenzi maana hapo utakuwa unatumia njia ndefu kupata faida kidogo. Mfuko Kwa reja reja ni Kati ya 1000 Hadi 1500 angalia na gharama zake za uendeshaji..