Kuna gari linauzwa japan, lina CC 1900, Honda CR-V, limetengenezwa mwaka 1999, bei yake ni $500. Gari la namna hii mpaka kulifikisha Tanzania na kulisajili ni bei gani jumla?
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..
Mimi nakupa gharama za kuitoa bandarini.Hiyo gari ikifika bandarini unatakiwa uilipie
Kodi tshs 4,459,783
Reg tshs 380,000
Shipping line 172,000
Port charges est 375,000
Agency fee tshs 250,000
Jumla ya fasta ni tshs 5,636,783
Hapo ukijumlisha na gharama za kuitoa hiyo gari japan kama hiyo usd 500 ni fob basi hapo ujue ukitaka Cif plus inspection na pay trade kama unatumia mtandao wa trade car view inaweza ikafika jumla kama usd 2400 hv ambayo ni tshs 4,080,000 kwa exc rate ya 1700.
Kwa hiyo jumla kuu hiyo gari itakugharimu tshs 9,716,783 unaongezea tuu na insurance yako ya 3rd party 100,000 na ww unaingia kwenye foleni za jiji la Dar kiulaini kabisa.
Ulipitia Tradecarview kuwasiliana nao?
Uliongeza gharama za Paytrade??
Mimi nakupa gharama za kuitoa bandarini.Hiyo gari ikifika bandarini unatakiwa uilipie
Kodi tshs 4,459,783
Reg tshs 380,000
Shipping line 172,000
Port charges est 375,000
Agency fee tshs 250,000
Jumla ya fasta ni tshs 5,636,783
Hapo ukijumlisha na gharama za kuitoa hiyo gari japan kama hiyo usd 500 ni fob basi hapo ujue ukitaka Cif plus inspection na pay trade kama unatumia mtandao wa trade car view inaweza ikafika jumla kama usd 2400 hv ambayo ni tshs 4,080,000 kwa exc rate ya 1700.
Kwa hiyo jumla kuu hiyo gari itakugharimu tshs 9,716,783 unaongezea tuu na insurance yako ya 3rd party 100,000 na ww unaingia kwenye foleni za jiji la Dar kiulaini kabisa.
Ndio nilipitia Tradecarview ila ile gharama ya Paytrade sikulipa kwa kweli,,,nimewasiliana nao wanasema hawwawez kunisaidia kwasababu sijalipa...
Oya mkuu toa maelezo vzr, mi mwenyewe kuna transactions nimezifanya kwa seller mmoja kwenye website ya tradecarview kuna ndugu angu aliniomba nimnunulie gari japo co siku nyingi. Ila kwa habari iyo apo juu umeni-alert kiasi flani. Still i have to wait as i was told to do that for at least 2 months in order to receive my item! Yasije kuwa majanga....
Kwa kawaida ukishanunua gari na ukatuma ile TT copy wale jamaa wanapokea pesa ndan ya siku 3 mpaka 4, na baada ya wiki moja unakuta gari lako linapakiliwa kwenye meli, baada ya mwezi gari inafika hapa Dar....nmekua nafanya kazi ya kuagiza magari kwa muda sana sasa, sijawahi kukumbana na hili la kudhulumiwa, ila sasa ndio nawatahadharisha kampuni inaitwa I-TRADING IMEKUA registered na TRADECARVIEW, HII ni ya matapeli kabisa muwe makini,....
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..
Unapoagiza gari Tradecarview huwa wanakushauri kuwa mawasiliano yote wakati wa ku-negotiate bei yapitie kwenye website ya Tradecaview na sio muuzaji. Hii inasaidia ku-track kama kuna tatizo lolote. Pia kwenye malipo utumie "paytrade" ambapo Tradecarview na sio muuzaji ndio anatoa invoice, na wewe unalipa hela kwenye akaunti ya Tradecarview na sio muuzaji. Ukishafanya malipo unamtumia muuzaji kopi ya TT.
Baada ya fedha kuwa zimeingia kwenye akaunti ya Tradecarview wao humtaarifu muuzaji kuwa hela yake wanayo na hivyo aendelee na taratibu za inspection na shipping. Akishapakia gari kwenye meli na kukutumia wewe mnunuzi nyaraka za gari ndio hupewa hela zake, akishindwa basi unarudishiwa pesa zako. Unaweza kuona kuwa hii ni njia salama japo unatakiwa kuongeza pesa kidogo kama "paytade fee" lakini ni bora kuliko ku-risk kutapeliwa.
Hata hivyo hao jamaa wakikutapeli unaweza kuwaripoti kwa Tradecaview wakithibitika kuwa ni matapeli watatoa kwenye website yao.
Ndio nilipitia Tradecarview ila ile gharama ya Paytrade sikulipa kwa kweli,,,nimewasiliana nao wanasema hawwawez kunisaidia kwasababu sijalipa...