Kwa wenye uzoefu wa kuagiza Magari kutoka Japan

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
Kuna gari linauzwa japan, lina CC 1900, Honda CR-V, limetengenezwa mwaka 1999, bei yake ni $500. Gari la namna hii mpaka kulifikisha Tanzania na kulisajili ni bei gani jumla?
 
Kupata cif pamoja na inspection ongezea kama usd 1,700 hivi. Sasa kuna kodi ya kaisari likifika. Hapa ndio kuna kazi. Wazoefu watakwambia, ila kwa sababu lina umri mkubwa jiandae!
 
Contact the seller from japan akutumiye CIF including jaii,shipping and pay trade.
 
Ukitaka juwa kodi yako hapa contact clearing person with more details" engine capacity, year, model and type. Extra calculation hatakupa.
 
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..
 
Kuna gari linauzwa japan, lina CC 1900, Honda CR-V, limetengenezwa mwaka 1999, bei yake ni $500. Gari la namna hii mpaka kulifikisha Tanzania na kulisajili ni bei gani jumla?

Katika bei hiyo ongeza kiasi cha US $ 1500 gharama ya usafiri na bima. Katika kodi likifika Tz kutakuwa na faini ya 25% kwa kuwa lina zaidi ya miaka 10.
Kwa hiyo hadi Tz ni kama US $ 2,000
Ongeza hiyo faini 25%
VAT 18%
Kodi nyingine sina uhakika nazo
 
Mimi nakupa gharama za kuitoa bandarini.Hiyo gari ikifika bandarini unatakiwa uilipie
Kodi tshs 4,459,783
Reg tshs 380,000
Shipping line 172,000
Port charges est 375,000
Agency fee tshs 250,000
Jumla ya fasta ni tshs 5,636,783
Hapo ukijumlisha na gharama za kuitoa hiyo gari japan kama hiyo usd 500 ni fob basi hapo ujue ukitaka Cif plus inspection na pay trade kama unatumia mtandao wa trade car view inaweza ikafika jumla kama usd 2400 hv ambayo ni tshs 4,080,000 kwa exc rate ya 1700.
Kwa hiyo jumla kuu hiyo gari itakugharimu tshs 9,716,783 unaongezea tuu na insurance yako ya 3rd party 100,000 na ww unaingia kwenye foleni za jiji la Dar kiulaini kabisa.
 
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..

Ulipitia Tradecarview kuwasiliana nao?
Uliongeza gharama za Paytrade??
 
Ndo naingiaga zangu mitaa ya uhindini kati ya posta na mnazi mmoja kununua gari kwa muhindi na mie ning'ae kitaa. Loh
 
Ulipitia Tradecarview kuwasiliana nao?
Uliongeza gharama za Paytrade??

Ndio nilipitia Tradecarview ila ile gharama ya Paytrade sikulipa kwa kweli,,,nimewasiliana nao wanasema hawwawez kunisaidia kwasababu sijalipa...
 
Ni bora kununualia hapa hapa bongo kwenye hizo showroom zao
 
Mimi nakupa gharama za kuitoa bandarini.Hiyo gari ikifika bandarini unatakiwa uilipie
Kodi tshs 4,459,783
Reg tshs 380,000
Shipping line 172,000
Port charges est 375,000
Agency fee tshs 250,000
Jumla ya fasta ni tshs 5,636,783
Hapo ukijumlisha na gharama za kuitoa hiyo gari japan kama hiyo usd 500 ni fob basi hapo ujue ukitaka Cif plus inspection na pay trade kama unatumia mtandao wa trade car view inaweza ikafika jumla kama usd 2400 hv ambayo ni tshs 4,080,000 kwa exc rate ya 1700.
Kwa hiyo jumla kuu hiyo gari itakugharimu tshs 9,716,783 unaongezea tuu na insurance yako ya 3rd party 100,000 na ww unaingia kwenye foleni za jiji la Dar kiulaini kabisa.

Umesema kweli tupu! Ukiangalia mtandaoni ukaona FOB price ni $500 unaweza ukafikiri gari lina thamani ya Tsh5,000,000/- ! Kumbe waapi ukiingia kichwakichwa litakushinda bandarini pale na litakuwa mali ya TRA.

Kuna xpert mmoja alinilalamikia kuwa hapa nchini kwenu kodi ya magari na kodi tu kwa ujumla ni kubwa. Akasema ukubwa wa kodi hukatisha tamaa watu na siyo kigezo kikubwa cha kukuza pato la nchi. Kodi akasema lazima iwe realistic na iwe compatible na tax margin kwa nchi zingine!
 
Ndio nilipitia Tradecarview ila ile gharama ya Paytrade sikulipa kwa kweli,,,nimewasiliana nao wanasema hawwawez kunisaidia kwasababu sijalipa...

Oya mkuu toa maelezo vzr, mi mwenyewe kuna transactions nimezifanya kwa seller mmoja kwenye website ya tradecarview kuna ndugu angu aliniomba nimnunulie gari japo co siku nyingi. Ila kwa habari iyo apo juu umeni-alert kiasi flani. Still i have to wait as i was told to do that for at least 2 months in order to receive my item! Yasije kuwa majanga....
 
Kwa kawaida ukishanunua gari na ukatuma ile TT copy wale jamaa wanapokea pesa ndan ya siku 3 mpaka 4, na baada ya wiki moja unakuta gari lako linapakiliwa kwenye meli, baada ya mwezi gari inafika hapa Dar....nmekua nafanya kazi ya kuagiza magari kwa muda sana sasa, sijawahi kukumbana na hili la kudhulumiwa, ila sasa ndio nawatahadharisha kampuni inaitwa I-TRADING IMEKUA registered na TRADECARVIEW, HII ni ya matapeli kabisa muwe makini,....
 
Nashukuru mkuu #Somoche umesomeka vzr, japo ndo mara ya kwanza ila na mie nilifanya steps hizo hizo walivopokea payment tu wakanitaarifu then wakaniambia natakiwa kusubiria watanipa shipping schedule. Toka hapo ndo nawasubiria. Afu mbaya zaidi huyu seller niliyekuwa nafanya mawasiliano naye ali-cancel ile invoice niliyo submit ilikuwa na pay trade service then akanipa invoice ingine yenyeee haina huduma ya paytrade, then akani request online kuwa niconfirm invoice changes. Mie nilidhani lada amebadilisha stock ID ndo nikawa makini nikaona sawa, kuja kushangaa kumbe ametoa paytrade service. Wasiwasi wangu ndo uko hapo hapo kuwa lada anaweza kunipakilia scraper. Duh ikiwa ivo nitakuwa among of internet users victim.
 
Kaka pole sana,pale kwenye website ya tradecarview wanaelezea sana usifanye mawasiliano na seller nje ya utaratibu wa message wa tradecarview,alipokubadilishia invoice ungecheki nao tradecarview kuhusu hilo swala kabla huja confirm na pia ukilipa ile paytrade unakua safe sana kwanza wanaifanyia car info check gari kabla haijaondoka,kukiwa na tofauti kati ulichokiona kwenye mtandao na walivyokagua wanakujurisha ufanye maamuzi....na kikubwa hiyo paytrade itakusaidia kama utapata gari tofauti na ulilo agiza,wanakurudishia pesa.. unaweza kukwepa hiyo paytrade ambayo ni kama dola 200-300 ukapoteza mamilioni.
 
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..

Unapoagiza gari Tradecarview huwa wanakushauri kuwa mawasiliano yote wakati wa ku-negotiate bei yapitie kwenye website ya Tradecaview na sio muuzaji. Hii inasaidia ku-track kama kuna tatizo lolote. Pia kwenye malipo utumie "paytrade" ambapo Tradecarview na sio muuzaji ndio anatoa invoice, na wewe unalipa hela kwenye akaunti ya Tradecarview na sio muuzaji. Ukishafanya malipo unamtumia muuzaji kopi ya TT.

Baada ya fedha kuwa zimeingia kwenye akaunti ya Tradecarview wao humtaarifu muuzaji kuwa hela yake wanayo na hivyo aendelee na taratibu za inspection na shipping. Akishapakia gari kwenye meli na kukutumia wewe mnunuzi nyaraka za gari ndio hupewa hela zake, akishindwa basi unarudishiwa pesa zako. Unaweza kuona kuwa hii ni njia salama japo unatakiwa kuongeza pesa kidogo kama "paytrade fee" lakini ni bora kuliko ku-risk kutapeliwa.

Hata hivyo hao jamaa wakikutapeli unaweza kuwaripoti kwa Tradecaview wakithibitika kuwa ni matapeli watatoa kwenye website yao.
 
Unapoagiza gari Tradecarview huwa wanakushauri kuwa mawasiliano yote wakati wa ku-negotiate bei yapitie kwenye website ya Tradecaview na sio muuzaji. Hii inasaidia ku-track kama kuna tatizo lolote. Pia kwenye malipo utumie "paytrade" ambapo Tradecarview na sio muuzaji ndio anatoa invoice, na wewe unalipa hela kwenye akaunti ya Tradecarview na sio muuzaji. Ukishafanya malipo unamtumia muuzaji kopi ya TT.

Baada ya fedha kuwa zimeingia kwenye akaunti ya Tradecarview wao humtaarifu muuzaji kuwa hela yake wanayo na hivyo aendelee na taratibu za inspection na shipping. Akishapakia gari kwenye meli na kukutumia wewe mnunuzi nyaraka za gari ndio hupewa hela zake, akishindwa basi unarudishiwa pesa zako. Unaweza kuona kuwa hii ni njia salama japo unatakiwa kuongeza pesa kidogo kama "paytade fee" lakini ni bora kuliko ku-risk kutapeliwa.

Hata hivyo hao jamaa wakikutapeli unaweza kuwaripoti kwa Tradecaview wakithibitika kuwa ni matapeli watatoa kwenye website yao.

Asante mkuu, nilichofanya sasa nimejaza Claim Form,Nimewaeleza kwamba nililipia gari tangu Sept 10 mpaka sasa haijatumwa nimeaattach na TT copy, nimekua nanunua magari haya for many years now, sijakumbana na shida kama hii, sasa sielewi kwanini Kampuni inakua ya kitapeli this much...
 
Ndio nilipitia Tradecarview ila ile gharama ya Paytrade sikulipa kwa kweli,,,nimewasiliana nao wanasema hawwawez kunisaidia kwasababu sijalipa...

Hapo ndio tatizo Mkuu,
Unajua ile Tradecar View ni platform yao, sasa ukiitumia then usiwalipe ingawa legally ni right but morally ni wrong kwani wao wanalipia a lot kuhusu ile platform kama vile saver, design of various additional services, e.t.c so wanaona kama umewazunguka, so in case of anything wanakuruka na wao
 
Back
Top Bottom