Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Ni bora kununualia hapa hapa bongo kwenye hizo showroom zao
Pole sana ndugu yangu, show room za kibongo uchelewi kununua Used Bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora kununualia hapa hapa bongo kwenye hizo showroom zao
Kwa kawaida ukishanunua gari na ukatuma ile TT copy wale jamaa wanapokea pesa ndan ya siku 3 mpaka 4, na baada ya wiki moja unakuta gari lako linapakiliwa kwenye meli, baada ya mwezi gari inafika hapa Dar....nmekua nafanya kazi ya kuagiza magari kwa muda sana sasa, sijawahi kukumbana na hili la kudhulumiwa, ila sasa ndio nawatahadharisha kampuni inaitwa I-TRADING IMEKUA registered na TRADECARVIEW, HII ni ya matapeli kabisa muwe makini,....
Kiongozi vipi ulifanikiwa kupata gari yako?Nashukuru mkuu #Somoche umesomeka vzr, japo ndo mara ya kwanza ila na mie nilifanya steps hizo hizo walivopokea payment tu wakanitaarifu then wakaniambia natakiwa kusubiria watanipa shipping schedule. Toka hapo ndo nawasubiria. Afu mbaya zaidi huyu seller niliyekuwa nafanya mawasiliano naye ali-cancel ile invoice niliyo submit ilikuwa na pay trade service then akanipa invoice ingine yenyeee haina huduma ya paytrade, then akani request online kuwa niconfirm invoice changes. Mie nilidhani lada amebadilisha stock ID ndo nikawa makini nikaona sawa, kuja kushangaa kumbe ametoa paytrade service. Wasiwasi wangu ndo uko hapo hapo kuwa lada anaweza kunipakilia scraper. Duh ikiwa ivo nitakuwa among of internet users victim.
Uwe makini kuna kampuni inaitwa I..Trading ni ya kihuni...kuna watu wanailalamikia mm mmoja wao..nimewalipa tangu september 10 mpaka leo hawajajibu msg na wala hawapokei simu...cha ajabu kampuni hii imesajiliwa Tradecarview...ukiwauliza wanasema hawahusiki na pesa..
Ni bora kununualia hapa hapa bongo kwenye hizo showroom zao
Kiongozi vipi ulifanikiwa kupata gari yako?
Hongera sana, sasa nataka niagize nipe utaratibu wa kuagiza kwa malipo ya pay trade, maana proforma invoice pamoja na invoice sijaona hiko kipengele, n kupitia mtandao wa cartrade view kwa kampuni ya Real Motor JapanTayari mkuu nilishafanikiwa kitaaambo... Reg yake ni #T_401_DCN
Hongera sana, sasa nataka niagize nipe utaratibu wa kuagiza kwa malipo ya pay trade, maana proforma invoice pamoja na invoice sijaona hiko kipengele, n kupitia mtandao wa cartrade view kwa kampuni ya Real Motor Japan
hayo yote nimeshayafanya nipo kwenye invoice payment, tatizo wakat najaza proforma sijaona sehemu ya opt kutumia pay trade, ila invoice ina account ya trade car view, ss ishu inakuja mbona gharama za pay trade sijaainishiwa na pay trade hulipwa muda gani pamoja na invoice kwenye CIF au separatetradecarviews.com ndo website niliyotumia kununua gari tena kwa sellers hao hao #Real_Motor_Japan . Kama unataka kununua kwanza inatakiwa u create account au sign up kene iyo website ya tradecarview, kisha unaingia kene kuchagua mikoko tofauti tofauti unayotaka. Kabla hujafanya submission ya gari hakikisha umeisoma vzr Displacement zake, umri wa gari na mengine kibao mpka uridhike nayo kisha unaisend kwa sellers, then subiria akiipata msg yako mnafanya negotiations naye kwenye iyo iyo website, ucjaribu kumpea email address yako nje na tradecarview. Hakikisha mawasiliano yote yanafanyika kwenye iyo website na c vinginevo. Kama mtakubaliana basi yeye atakutumia profoma invoice kisha utai download kwa ajili ya kufanyia payment. Malipo huwa yanafanyika kwa njia ya Telegraphic Transfer T/T. Kama kuna sehemu hujanielewa niambie nikupe maelezo kwa mapana....
hayo yote nimeshayafanya nipo kwenye invoice payment, tatizo wakat najaza proforma sijaona sehemu ya opt kutumia pay trade, ila invoice ina account ya trade car view, ss ishu inakuja mbona gharama za pay trade sijaainishiwa na pay trade hulipwa muda gani pamoja na invoice kwenye CIF au separate
Watakuwa wamefuta basi maana makubaliano tumefanya kwenye website ya tradecar view na account ni ya tradecar viewInvoice huwa inakuja na opt mbili, ya kwanza ni kuisubmit pacpo paytrade...
Ya pili inakuwaga with paytrade service....
Gharama huwa inajumlishwa yote humo humo. Maana kene negotiations list kule ndo mtakubaliana bei full pamoja na huduma zingine.
Inawezekana ikawa sahv paytrade service inatolewa bure ndo maana hujaona opt iyo. Nilipata email moja wananambia kuwa now paytrade service is free.. Inawezekana ishaanza kufanya kazi.
Ukiona inazingua unaweza nunua pacpo hata kutumia paytrade ilimradi tyu makubaliano yamefanyika ndani ya database ya tradecarview website... Hiyo invoice utayotumiwa ndo itakupa kila kitu hadi bank information .
Watakuwa wamefuta basi maana makubaliano tumefanya kwenye website ya tradecar view na account ni ya tradecar view
Mkuu claim yako imeishiaje na hao jamaa