Kwa wenye uzoefu wa kuagiza magari nje!

Kwa wenye uzoefu wa kuagiza magari nje!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Wakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.

Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?

Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!

Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
 
Jambo la msingi hakikisha CIF ya Beforward haipo juu ya CIF ya TRA. Majibu utayopata yatakuwa sahihi. Ila ikiwa CIF ya Beforward inaizidi ya TRA, utakapoingiza gari Bongo TRA watapiga hisabu kwa CIF yako kubwa na ushuru kuongezeka tofauti na ule uliotarajia.
Lakini usisahau gharama ya ajenti wa clearing and forwarding ambayo ni takriban laki nane na nusu au tisa.

Ushauri: Ni vizuri zaidi kununua kitu kilichotumika Japan kuliko Tanzania.
 
Thanks mkuu
Jambo la msingi hakikisha CIF ya Beforward haipo juu ya CIF ya TRA. Majibu utayopata yatakuwa sahihi. Ila ikiwa CIF ya japani inaizidi ya TRA utakapoingiza gari Bongo, TRA watapiga hisabu kwa CIF yako kubwa na ushuru kuongezeka tofauti na ule uliotarajia.
Lakini usisahau gharama ya ajenti wa clearing and forwarding ambayo ni takriban laki nane na nusu au tisa.

Ushauri: Ni vizuri zaidi kununua kitu kilichotumika Japan kuliko Tanzania.
 
Maelezo ya aliyetangulia hapo juu yapo sahihi isipokuwa katika kipengele kimoja cha gharama za clearing agent. Hawa watu wanachaji sh laki 2 na elfu 50 hadi laki 3 kwa gari moja. Kuna gharama ambazo hazipo katika calculator ya TRA nazo ni;
1. Port Charges
2. Warfage
3. Shipping line

Ukiziweka hizi pamoja na hiyo ya agent ndipo inaweza kufika laki 8 au zaidi!
 
Mkuu, tunaongea kitu kimoja. Mimi nimechanganya hizo gharama zote kwa kuwa pesa hiyo hukabidhiwa agent na ndiye atakayeenda kulipia.
 
Wakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.

Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?

Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!

Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
Labda kama sijakuelewa,
Lakin magari yanaenda yakipanda bei kila siku sababu ya Ushuru kuongezeka sana sana. Kwa sasa annual Road Licence inefutwa lakin initial registration imeongezwa. Pia gharama za dola na magumashi kupungua bandarini.

Hapo awali Importation ya magari ilikua rahisi sababu watu walikua na hela, dola ilikua nafuu, ukiwa mjanja kodi ungeweza kulipa pungufu lakin sasa hilo halipo. Ndio maana bei ya gari used now hizo zilizoagizwa kipindi hiko ni sawa labda na kodi tu kwa sasa.
 
Maelezo ya aliyetangulia hapo juu yapo sahihi isipokuwa katika kipengele kimoja cha gharama za clearing agent. Hawa watu wanachaji sh laki 2 na elfu 50 hadi laki 3 kwa gari moja. Kuna gharama ambazo hazipo katika calculator ya TRA nazo ni;
1. Port Charges
2. Warfage
3. Shipping line

Ukiziweka hizi pamoja na hiyo ya agent ndipo inaweza kufika laki 8 au zaidi!

Ninawezaje kujua kama gharama nilizopewa na Clearing agent za Port Charges, Warfage na Shipping line ni sahihi au zimekuzwa? Mfano mtu ameagiza Suzuri Carry, gharama tajwa hapo juu zitakuwaje?.(Nadhani huwa katika Usd)

Mwenye uelewa naomba anieleweshe tafadhali.

Ahsante
 
Utajua kwa kuwa-consult ma-agents tofauti tofauti na ku-compare gharama zao,ila wengi wana-range humo humo waliposema wadau wengine
 
Wakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.

Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?

Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!

Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
Ni wewe au nimekufananisha
 
karibu mkuu mm nipo kampuni ya kuagiza mgari unaweza nipata kwa namba 0714349142 tujuzane mengi
 
Umeshindwa kutoa maelezo hapa?

Tukisema unataka kumpiga tunakosea?

Ilitakiwa umpe maelezo anayoyatafuta halafu mwisho wa siku ndo utangaze biashara yako kwa kueleza pia mnachokifa ya huenda watu wengine wakaona tangazo lako.
 
Back
Top Bottom