Jambo la msingi hakikisha CIF ya Beforward haipo juu ya CIF ya TRA. Majibu utayopata yatakuwa sahihi. Ila ikiwa CIF ya japani inaizidi ya TRA utakapoingiza gari Bongo, TRA watapiga hisabu kwa CIF yako kubwa na ushuru kuongezeka tofauti na ule uliotarajia.
Lakini usisahau gharama ya ajenti wa clearing and forwarding ambayo ni takriban laki nane na nusu au tisa.
Ushauri: Ni vizuri zaidi kununua kitu kilichotumika Japan kuliko Tanzania.
Mkuu, tunaongea kitu kimoja. Mimi nimechanganya hizo gharama zote kwa kuwa pesa hiyo hukabidhiwa agent na ndiye atakayeenda kulipia.Maelezo ya aliyetangulia hapo juu yapo sahihi isipokuwa katika kipengele kimoja cha gharama za clearing agent. Hawa watu wanachaji sh laki 2 na elfu 50 hadi laki 3 kwa gari moja. Kuna gharama ambazo hazipo katika calculator ya TRA nazo ni;
1. Port Charges
2. Warfage
3. Shipping line
Ukiziweka hizi pamoja na hiyo ya agent ndipo inaweza kufika laki 8 au zaidi!
Labda kama sijakuelewa,Wakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.
Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?
Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!
Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
Maelezo ya aliyetangulia hapo juu yapo sahihi isipokuwa katika kipengele kimoja cha gharama za clearing agent. Hawa watu wanachaji sh laki 2 na elfu 50 hadi laki 3 kwa gari moja. Kuna gharama ambazo hazipo katika calculator ya TRA nazo ni;
1. Port Charges
2. Warfage
3. Shipping line
Ukiziweka hizi pamoja na hiyo ya agent ndipo inaweza kufika laki 8 au zaidi!
Ninawezaje kujua kama gharama nilizopewa na Clearing agent za Port Charges, Warfage na Shipping line ni sahihi au zimekuzwa? Mfano mtu ameagiza Suzuri Carry, gharama tajwa hapo juu zitakuwaje?.(Nadhani huwa katika Usd)
Mwenye uelewa naomba anieleweshe tafadhali.
Ahsante
Ni wewe au nimekufananishaWakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.
Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?
Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!
Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
karibu mkuu mm nipo kampuni ya kuagiza mgari unaweza nipata kwa namba 0714349142 tujuzane mengiWakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta ushuru na kila kitu inaweza isifike hata mil 8.
Hii calculator ya TRA kuna mahali inakosea?
Let say Noah townace 2001mbongo aliyotumia anauza kuanzia mil 8 hadi mil 10,ukienda be forward magari ya Japan na ukaleta kwenye calculator ya TRA kukamilisha kila kitu hadi uwe nayo ni mil 7.4 na kuendelea!
Wakuu mliowahi kuangiza nje naomba experience yenu!
karibu mkuu mm nipo kampuni ya kuagiza mgari unaweza nipata kwa namba 0714349142 tujuzane mengi