Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari wanaJF,

Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine haizionekani.

Msaada wenye ujuvi tafadhali.
 
Hachana na simu zenye ubora mdogo sana.

Tecno yenyewe hata China hazipo,
 
Huyo mtoto ni wewe. Kwa akili ya kawaida mzazi hawezi kuja kuhangaika akaacha kijana mtu mzima asijue afanye nini!
Haya hiyo simu sio zile za voda shop au Tigo?
 
First mistake ame purchase techno
 
Nenda setting search simcard management nenda sehemu iliyoandikwa ask every time.
 
Hapo panapomuonyesha lain Moja abonyeze Bila kuachia na itamuonyeaha option ya kutuma kwa lain hy nyngn
 
Tecno pop ngapi vile....? Ni simu au kifaa cha mawasiliano
 
Umeuliza watoto wenzio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…