Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Natamani niweke picha yangu before and after.. Sema itareveal identity yangu
 
Yapo kibao kwenye maduka yanayouza mafuta,bidhaa za nywele
Yanapatikana wapiiiii???

Mimi natumia ya t444z naaona mabadiliko kwa mbaaali sana.

Haya naweza yapata wapi ili niyatumie?
 
yamejaa tele madukani hasa yale yanayouza vipodozi na bei yake kuanzia 3,500/= ikizidi sana 5,000/=
 
Aisee katika vitu ninavyovihusudu basi ni kipara changu..! Yaani nakipenda mpaka nabanwa na haja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kila nikijiangalia kwenye kioo naona namna ninavyotokelezea na masculinity ya akina Jason Statham pamoja na bruce wills basi nazidi kufurahia kipara changu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23]

Eti wabanwa na haja
 
Sulfur sio salama kwa ngozi yako Im sure japo sio tabibu
 
Sulfur sio salama kwa ngozi yako Im sure japo sio tabibu
IMG_20181221_110206.JPG

How to Use Sulfur Powder for Hair | Livestrong.com
 
Back
Top Bottom