Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Natamani niweke picha yangu before and after.. Sema itareveal identity yangu
 
Yapo kibao kwenye maduka yanayouza mafuta,bidhaa za nywele
Yanapatikana wapiiiii???

Mimi natumia ya t444z naaona mabadiliko kwa mbaaali sana.

Haya naweza yapata wapi ili niyatumie?
 
yamejaa tele madukani hasa yale yanayouza vipodozi na bei yake kuanzia 3,500/= ikizidi sana 5,000/=
 
[emoji23][emoji23]

Eti wabanwa na haja
 
Sulfur sio salama kwa ngozi yako Im sure japo sio tabibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Ahsante kwa kunifurahisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmefwata trend ya sasa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…