KWA WENYE VIPARA TUANDAMANE

kifumue

Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
43
Reaction score
41
Hi Wana jf ninatoa maoni yangu naomba tushauliane kidogo ,hivi kuna uhalali Gani kwa sisi wenye vipara kulipa ela sawa na wenye nywele kamili namaanisha kichwa kizima tena tukienda saloni wanatukejeli eti utasikia mkuu tunyoe staili gani,kuna staili kweli kwenye upala.Ebu wenye vipara tuandamane kupinga huu unyanyapaa
 
Mi nilifikiri ni kuandamana kwa kuuziwa dawa feki na vipara kubaki vilevile?
 
Dawa zimedunda sio kwajili feki apana Ni usugu tu wa hii sehemu
 
Hakuna kitu najikubali kama kipara aiseee yaani nikipiga para langu na suti yangu ...I can literally fly
 
Hahahaha km mimi ndio wananila pesa bure maana mimi zimebaki pembeni tu mwa masikio
 
Poleni sana wenye vipara, nadhani na mimi kipo mbioni kupisha hodi
 
Jamani maandamano yananzia popote pale mnapokutana ila yanaiashia pale rugalo palipoandikwa military apo getini wakizingua kama nitachelewa wambie akili Ni nywele wakiona kichwani watapata majibu kwanini
tupo apo
 
Unafikili utapata ata nafasi ya kubonyeza hicho kitufe lazima unye chezea sisi wewe kwanza hatuna akili kwani si mnasema akili Ni nywele Sasa sisi hatuna nywele ngoja uone
 
Utafiti unaonyesha,watu wenye vipara wanahasila sana!! discuss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…