kifumue
Member
- Feb 3, 2018
- 43
- 41
Hi Wana jf ninatoa maoni yangu naomba tushauliane kidogo ,hivi kuna uhalali Gani kwa sisi wenye vipara kulipa ela sawa na wenye nywele kamili namaanisha kichwa kizima tena tukienda saloni wanatukejeli eti utasikia mkuu tunyoe staili gani,kuna staili kweli kwenye upala.Ebu wenye vipara tuandamane kupinga huu unyanyapaa