Kwa wenye vyeti vya early childhood education

Kwa wenye vyeti vya early childhood education

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Habari za saa wakuu,
Je, kwa wale wenye vyeti vya early childhood education kwenye mfumo wa tamisemi na nyie mnapata options kama zangu kwenye masomo ya kufundisha maana mimi naandikiwa all primary subjects sasa sijajua nyie wenzangu inaandikaje?
 
Changamoto ni chuo unachokuwa umesoma
Hapo inabid uangalie chuo chenye program hiyo kisha bandika mahitaji yako rudi chuo husika save
 
Inategemeana na chuo na mwaka uliohitimu chuo husika,mfano wa UDSM,wao inasemekana walikua wanasoma masomo ya WATOTO tu,na curriculum ya watoto tu na hawana TEACHING SUBJECT tofauti na za watoto wadogo,ila kwa wale wa UDOM, inasemekana nyuma kidogo walikua wanasoma saikolojia ya WATOTO, curriculum ya watoto na TEACHING SUBJECTS kama watu wa kozi nyingine,na SAIKOLOJIA ya kufundishwa wanafunzi wakubwa pia kama wa kozi nyingine za ualimu pale UDOM,ila kwasasa wamewaondolea hivyo,hawana teaching subjects za wanafunzi wengine,zaidi ya watoto wadogo tu.Nadhani kwa hao watu,wakiomba,lazima kutakua na wengine ambao watakua limited kuomba ya primary tu,wengine hawatakua na limitations.
Niko tayari kurekebishwa.
 
Kwa ambao hatusomi teaching subject,Tunaweza kupata nafasi shuleni kama vile?
 
Back
Top Bottom