Inategemeana na chuo na mwaka uliohitimu chuo husika,mfano wa UDSM,wao inasemekana walikua wanasoma masomo ya WATOTO tu,na curriculum ya watoto tu na hawana TEACHING SUBJECT tofauti na za watoto wadogo,ila kwa wale wa UDOM, inasemekana nyuma kidogo walikua wanasoma saikolojia ya WATOTO, curriculum ya watoto na TEACHING SUBJECTS kama watu wa kozi nyingine,na SAIKOLOJIA ya kufundishwa wanafunzi wakubwa pia kama wa kozi nyingine za ualimu pale UDOM,ila kwasasa wamewaondolea hivyo,hawana teaching subjects za wanafunzi wengine,zaidi ya watoto wadogo tu.Nadhani kwa hao watu,wakiomba,lazima kutakua na wengine ambao watakua limited kuomba ya primary tu,wengine hawatakua na limitations.
Niko tayari kurekebishwa.