Kwa wenye wagonjwa hospitali ya Mloganzila

Kwa wenye wagonjwa hospitali ya Mloganzila

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
578
Reaction score
1,241
Moja kwa moja kwenye mada

Ndugu zangu watanzania wenzangu kuna watu wana wagonjwa hospitali ya mloganzila lakini baada ya kufika pale mtu au watu waliokuja na mgonjwa wanakosa sehem ya kukaa au kuishi kipindi wapo na mgonjwa kutokana na jografia ya hospitali ni mbali na guest au hoteli hivyo nimekuja na suluhisho

Kipo chumba kimoja master choo ndani ndani utakuta friji ,jiko la gas , sufuria tatu , chupa za chai mbili , hotpot mbili na kisabufa kidogo .. hii sio gest ni kama upo kwako na ni karibu kabisa na hospitali km 3 kutoka mloganzila ..utaweza kulala na kumwandalia mgonjwa chakula ukiwa karibu na hospitali gharama ni 20k per day kwa maelezo zaidi njoo dm

Nb : Pesa haitafutwi inategwa Mh Chalamila rc dsm
 
Back
Top Bottom