Kwa wenyeji wa Dodoma na wapenzi wa bidhaa za HS HARMONY...naomba msaada wa haraka tafadhari.

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
774
Reaction score
1,003
Habari wanajamvi,naombeni msaada kufahamishwa kua ni wapi haya maduka ya HS HARMONY yanapatikana DODOMA... nmeambiwa wamefungua branches mpya DODOMA ambapo mwanzoni hazikuepo.

Msaada tutani...
 
Hao sidhani kama tawi popote pale. Au umemaanisha HS Amon?
 
Back
Top Bottom