Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
Karibu mkuu, ila jifunze kuandika kwanza, JF si kama surakitabu.
Muhimu kulijua hilo kwanzaKaribu mkuu, ila jifunze kuandika kwanza, JF si kama surakitabu.
San= sana
Kbs= kabisa
Ahsante, nimekuelewa! Mwisho leo mkuu.[emoji4]Karibu mkuu, ila jifunze kuandika kwanza, JF si kama surakitabu.
San= sana
Kbs= kabisa
Kuna walimu wengi sana wa kiswahili hawakopeshi ukikosea neno tu, wana wewe
Karibu mkuu, ila jifunze kuandika kwanza, JF si kama surakitabu.
San= sana
Kbs= kabisa
Umekuja na nini ?"Being Famous on Jamii Forum is Like being Rich in Monopoly" Habari wana Jamii, Mimi ni member mpya humu,natumaini tutakua pamoja tukishirikiana kuchangia&kushauriana mawazo kwenye hoja na mada tofauti tofauti katika Majukwaa mbali mbali humu ndani. Ahsanteni sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
dah! Na jinsi nilivo msahaulifu,itabidi niende course ya lugha kiswahili kwakweli.Kuna walimu wengi sana wa kiswahili hawakopeshi ukikosea neno tu, wana wewe
Kwani Jamii Forum watu huwa wanakujaje uku mkuu?Umekuja na nini ?
Au umekuja kujaje hapa