Kwa wenyeji wa JamiiForums

Kwa wenyeji wa JamiiForums

Taylor king

Senior Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
102
Reaction score
128
"Being Famous on Jamii Forum is Like being Rich in Monopoly" Habari wana Jamii, Mimi ni member mpya humu,natumaini tutakua pamoja tukishirikiana kuchangia&kushauriana mawazo kwenye hoja na mada tofauti tofauti katika Majukwaa mbali mbali humu ndani. Ahsanteni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu mkuu, ila jifunze kuandika kwanza, JF si kama surakitabu.
San= sana
Kbs= kabisa

Ushauri mzuri sana huu!!!! [emoji122][emoji122]
Maana nahisi huyu mgeni most likely atakuwa kijana; Na vijana wa siku hizi kila kitu wanataka short cut!!! Ni vyema umemtahadharisha....... Hii sio Facebook au Instagram!!
 
"Being Famous on Jamii Forum is Like being Rich in Monopoly" Habari wana Jamii, Mimi ni member mpya humu,natumaini tutakua pamoja tukishirikiana kuchangia&kushauriana mawazo kwenye hoja na mada tofauti tofauti katika Majukwaa mbali mbali humu ndani. Ahsanteni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuja na nini ?
Au umekuja kujaje hapa
 
Back
Top Bottom