Kwa wenyeji wa Kigamboni nipeni ushauri sehemu nzuri ya biashara ya mgahawa

Kwa wenyeji wa Kigamboni nipeni ushauri sehemu nzuri ya biashara ya mgahawa

Kibugumo mzambarauni pale hakuna restaurant ya kueleweka bado kumelala unaweza kupachangamsha..ni njia ya kulekea Geza, kimbiji n.k private care nying zinapita na pia eneo lipo na makazi ya watu so utapata wateja mpaka majirani....hapo mzambarauni kuna eneo la parking pia kutoka mjimwema mpaka geza njiani sijaona sehem nzur na ya kisasa kwa chakula so mkuu jaribu kutega pale...
NB za kuambiwa changanya na za kwako
 
Jamani habari za jioni wote. Poleni na miangaiko ya kulijenga taifa. Nilikuwa nahitaji ushauri wenu kwa nyinyi wenyeji wa Kigamboni.

Je kwa wenyeji wa Kigamboni ni maeneo gani mazuri ya biashara hii? Mji mwema, Kibada, Mikadi au wapi nipeni ushauri wenu. Kwa sasa naishi Sinza, mwenzi ujao naamia Kigamboni. Mpango wangu biashara ikisimama vizuri naachana na kazi.

Kazi ya Mgahawa inachangamoto ya muda wa kufunga na kufungua. Unapohamia ofisi yako isiwe mbali na hapo.
Pili unapotaka kufungua Ofisi mahala hapo pawe na ubize wa shughuli za watu. Mfano. Ofisi,Karibu na Stendi,Karibu na Makaazi ya watu wa Kipato cha Kati(Watumishi) nk.
 
Maweni...!!! near Nakos supermarket

Uko sahihi. Maeneo yoyote karibu na maduka makubwa yenye kuingia na kutoka kwa watu ni mazuri. Ila supermarket nyingi wateja wake ni kuanzia Mchana . Asubuhi unaweza usifanye Biashara kama sehemu haina watu wengine wenye shughuli zao hapo Karibu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Lete kisiwani huku alafu jitahidi uwe unapika misosi classic mama ntilie wa hapa hovyo misosi yao haileweki
 
Jaribu kisiwani maana watu ni wengi sana pande hizo. Kigamboni bado inapanuka kwahiyo maeneo yenye watu wengi ni machache sana.
 
Back
Top Bottom