Una hakika?
Sio kweli kwashemshi wamejaa wasukuma na vijiji vingi tu vya korogwe wageni wanamiliki mashamba
Japo Sijajua Lushoto ipi Mjini Au VijijiniHabari aa Asubuhi wadau.
Naamini kuna wenyeji wa Lushoto humu ndani.
Kwa kifupi nategemea kwenda kununua shamba kwa ajili ya kilimo na ufugaji huko Lushoto, ila kabla sijaenda ningependa kufahamu mambi mawili matatu.
1. Je kuna migogoro ya ardhi huko
2. Nguvu kazi inapatika kwa urahisi
3. uaminifu wa watu wa huko uko nje?
4. Jammi za huko zina wachukulia je watu wa kuja?
Asanteni kwa msaada wenu.
Sasa kwa shemshi ipo Lushoto?Sio kweli kwashemshi wamejaa wasukuma na vijiji vingi tu vya korogwe wageni wanamiliki mashamba
Sasa kwa shemshi ipo lushoto??
Unataja maeneo ambayo msambaa kachanganya na mzigua,nenda huko bumbuli,mtae au mlola alafu uje hapa kutoa mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app