Kwa wenyeji wa Lushoto Tanga

Kwa wenyeji wa Lushoto Tanga

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,439
Reaction score
1,738
Habari aa Asubuhi wadau.

Naamini kuna wenyeji wa Lushoto humu ndani.

Kwa kifupi nategemea kwenda kununua shamba kwa ajili ya kilimo na ufugaji huko Lushoto, ila kabla sijaenda ningependa kufahamu mambi mawili matatu.

1. Je kuna migogoro ya ardhi huko
2. Nguvu kazi inapatika kwa urahisi
3. uaminifu wa watu wa huko uko nje?
4. Jammi za huko zina wachukulia je watu wa kuja?

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Wasambaa ni wachapa kazi sana

Ni wakarimu

Watu wa kuja (wanyika) wako wengi sana na wengine wamesahau kwao
Karibu sana
 
Habari aa Asubuhi wadau.

Naamini kuna wenyeji wa Lushoto humu ndani.

Kwa kifupi nategemea kwenda kununua shamba kwa ajili ya kilimo na ufugaji huko Lushoto, ila kabla sijaenda ningependa kufahamu mambi mawili matatu.

1. Je kuna migogoro ya ardhi huko
2. Nguvu kazi inapatika kwa urahisi
3. uaminifu wa watu wa huko uko nje?
4. Jammi za huko zina wachukulia je watu wa kuja?

Asanteni kwa msaada wenu.
Japo Sijajua Lushoto ipi Mjini Au Vijijini

1.Sijawahi kusikia Migogoro ya Ardhi Lushoto
2.Hapana sio kwa urahisi Lakini huwezi kukosa
3.Wasambaa Wanaheshimu Vitu vya Watu,Tena wasiokujua ndio Maradufu
4.kawaida tuu

BUT
Kuna Milima Sana na Baridi Kali
 
Back
Top Bottom