Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Je unaunga mkono bandari kuingia ubia na DP world?Habari wanajf, kwa wale wenyeji wa Morogoro mjini tu,mwezi ujao natarajia kufiko Morogoro ila sehemu ninayoenda ni Kihonda Mkundi na Makunganya. Naomba msaada nikifika MOROGO mjini na Basi nitaenda uelekeo gani? Naomba kuwasilisha.
Je unaunga mkono bandari kuingia ubia na DP
Kwa aslimia Mia mojaJe unaunga mkono bandari kuingia ubia na DP world?
Nataka Mbeya mkuuUnatokea wapi?
Kuna Nini mkuuSina hamu na huo mkoa we nenda tu 🤣🤣🤣
Moro sio mahala pa kutafutia maisha hasa mjiniKuna Nini mkuu
Kwanini?Moro sio mahala pa kutafutia maisha hasa mjini
Kuna Nini mkuu
Vipo mzeya?unataka kiwanja mkuu ?