G GK Francis Member Joined Aug 16, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Jul 12, 2014 #1 Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo Mtwara. Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.
Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo Mtwara. Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.