GK Francis
Member
- Aug 16, 2013
- 17
- 0
Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo Mtwara.
Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.
Naombeni wanajukwaa mnifahamishe.