Kwa Weusi, Jux na Vanessa: Hip hop na R&b kutoboa inawezekana, ila Afrika ni ngumu sana


Ndugu "archivable" unakosea kujua ya kuwa America wasanii wenye mkwanja ni wa hip hop pekee na ni mziki unaopendwa sana pia asili yake ni mtu mweusi it doesn't matter ametokea wapi maana black Americans ni zao la mwafrika. Tukija kwa akina Joh na vee money wana uwezo mkubwa wa kutusua Africa na dunia kiujumla kwa juhudi zao binafsi sababu ya creativity yao kwenye rnb na hip hop. Msanii kama AKA Ana market kubwa kuliko hata kina Diamond na ameuza sana album yake ya "Levels.
Kuna kina ice prince na phyno pia wanapiga pesa ndefu. Cha muhimu sio kufata mkumbo sababu kina flani wanauza issue ni kuboresha kazi tu track kama nusu nusu imezaa matunda mazuri.
 

AKA anaandika vizuri mkuu. Pitia mashahiri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…