Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi.
Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote.
Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo hakuna.
Maudhui ya wimbo ni mazuri yametulia kwanza mbilia kaanza kuimba badae jamaa kamjibu na biashara Imeishia hapo.
Unaweza kuushusha mwenyewe wimbo unaitwa ' Paka wewe'by mbilia bel.
Mapenzi ya pesa si ya Sifa.Wimbo umeimbwa kwa lugha yetu ya bongo.
Kazi kwenu wanamuziki wetu wa bongo flavor na nyimbo zenu za dakika 2.
Laleni unono .⛷️