Kwa wimbo wa Yahaya nimeamini Jide amefulia

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
 
aka2030, nakuunga mkono. Ni nyimbo mbaya. Anaimba kwa kusoma karatasi. Ukiwa mtaalam wa studio sessions unasikia kabisa. Alafu anaimba na chords 3 maendeleo yapo wapi??

Ni bora aache tu muziki kuliko kulazimisha...hana jipya. Yaani ray c kiboko yao.

Sikiliza wimbo moto moto by ray c.
 
Nahitaji tiketi niende kwenye show ya Jide naomba tulioko Dar Mnijuze wapi nitapata ticket niko tayari kununuwa hata za ulanguzi.
 
ALIPATA KUNENA HAYA...
Akili ya Mwanadamu ikifika mwisho basi Mavi huanza kutumika.

Kauli hiyo ilitolewa na Hayati J. K. Nyerere.

Hakika nimeyaamini maneno ya Nyerere.
Akili ya JiDe imefika tamati na sasa uharo ndo unatumika.
 
Clouds mtajibeba, mmeanzisha kitengo cha propaganda mtandaoni kama CCM!
 
Ids zinazoleta hoja za kipuuzi na upumbavu ni zilezile siku zote ambazo zimeshika Moto kumtusi Jide, aka2030,Gang chomna na wanafuata kina heloo,revocatus,255,nyani & co cha ajabu upuuuzi huu umeanza baada ya jide kugombana na rugay na radio ya ubia na ccm!!

Hata shoga huwa hatetei matendo yake ya kutumika masaburi mbele za watu,cha ajabu nyie mnatumika pasipomashiko kwani hamuwezi mkalazimisha jide Kaisha,jide aache mziki,hizo ni hoja za kingese!!!
 
Wew mleta hoja ndo umefulia kwa maana kwamba umekosa kitu cha kuandika. Yawezkana kabisa wew ni YAHAYA mmojawapo. Ha ha ha ha ha yahayaa weee maskan yako knondon nyumba no yako haijulikan yhaya ohoooo poleeee
 
Jide anawanyima usingizi vibaraka wote wa ruge.

Go, go, go Jide.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale

Yahaya bonge la ngoma,wewe lazima utakua Gerald Hando,hamna pa kutokea mwaka huu.

team ant-mwanaFaudhia
 
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale

yahaya bonge la ngoma,wewe lazima utakua g.hando

team ant-mwanaFaudhia
 
Nahitaji tiketi niende kwenye show ya Jide naomba tulioko Dar Mnijuze wapi nitapata ticket niko tayari kununuwa hata za ulanguzi.

Nenda nyumbani lounge au mlimani city,shear illusion
 
from my point of view beat ya wimbo imekuwa sampled from Nivute Kwako, wimbo si mbaya na si mzuri sana but this depends on ones taste.
lakini namuunga mkono anaconda maana hawa clouds ni wanyonyaji sana sema wale wanaojaribu watetea wenzao wanakuwa kama mabwege hawawaungi mkono. go anaconda usirudi nyuma mpaka kieleweke............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…