Kwa wimbo wa Yahaya nimeamini Jide amefulia

Kwa wimbo wa Yahaya nimeamini Jide amefulia

Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
Join Date : 5th January 2013 -
kissmyass.gif
 
ids zinazoleta hoja za kipuuzi na upumbavu ni zilezile siku zote ambazo zimeshika moto kumtusi jide, aka2030,gang chomna na wanafuata kina heloo,revocatus,255,nyani & co cha ajabu upuuuzi huu umeanza baada ya jide kugombana na rugay na radio ya ubia na ccm!!

Hata shoga huwa hatetei matendo yake ya kutumika masaburi mbele za watu,cha ajabu nyie mnatumika pasipomashiko kwani hamuwezi mkalazimisha jide kaisha,jide aache mziki,hizo ni hoja za kingese!!!
naona umenitaja sijui nimekukosea nini kwanini hamkabali kuambiwa ukweli?mwanzo nilidhani mapambano yangu mwenyewe kumbe wafuasi kibao ,nimeipendaa hii,akalime mihogo musoma!badala ya kuimba sasa anachekesha walionuna!
 
anawachomaje!
yani mnahangaika sana mjue!hata mimi niliyekuwa siko upande wowote najikuta tu nakwa team anaconda!
yani baada ya kumharibia mnazidi kmpa chati mjue!
 
team anakonda...rocks
nyny vibaraka wa yahaya angalien boss wenu acje akawayahaya...polen kama nimeziingilia filings zenu..
 
Huyu mtoa mada ameajiriwa kumdiss jide...ukicheki post zake nyingi..ni jide...nyooooo....ukilala ukiamka unamuwaza jide...UTAJIBEBA....ukiona mtu anakufuatilia sanaaa jua anapenda kuwa ka wewe..sema basiiii tu...poleee@aka2030
 
Mnapoteza muda tu Jide anasupport ya kutosha...akitoa ata nyimbo kumi mbaya leo(kwa upeo wenu) bado tutamsupport kwa nyimbo kali zilizopita!kwa io wakina heloo na wenzako tuhamishie nguvu kweny mchakato wa katiba uku kwa jide mshachemka
 
Mtake msitatake jide ni mara kumi ya mwanafatuma aka mwanafistula aka ....
 
Jamani kwani tatizo nini malumbano haya kwa faida ya nani hawa wote ni wasanii wakubwa ipo siku wataona tofauti zao watakaa watayamaliza sasa humu jf ni kulumbana ndo nini jamani haipendezi sasa nawe judith kujiita anaconda ndo nini ile binti komando ilitulia sana pia acheni kumtusi mkaka wa watu mwana fa tuwe na busara kidogo tusishabikie hivi haipendezi.
 
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale

Habari yako Bwn Yahaya?
aisee huyu dada kakuchana, hajaacha haata chenga!
Kwa kweli una kazi nzito ya kujisafisha, hata hvyo hausafishiki!
 
june 14 2013,ilikuwa mwanzo wa mwisho wa clouds,nw wait and see the doom
 
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
ze ndi ndi ndi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom