Join Date : 5th January 2013 -Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
naona umenitaja sijui nimekukosea nini kwanini hamkabali kuambiwa ukweli?mwanzo nilidhani mapambano yangu mwenyewe kumbe wafuasi kibao ,nimeipendaa hii,akalime mihogo musoma!badala ya kuimba sasa anachekesha walionuna!ids zinazoleta hoja za kipuuzi na upumbavu ni zilezile siku zote ambazo zimeshika moto kumtusi jide, aka2030,gang chomna na wanafuata kina heloo,revocatus,255,nyani & co cha ajabu upuuuzi huu umeanza baada ya jide kugombana na rugay na radio ya ubia na ccm!!
Hata shoga huwa hatetei matendo yake ya kutumika masaburi mbele za watu,cha ajabu nyie mnatumika pasipomashiko kwani hamuwezi mkalazimisha jide kaisha,jide aache mziki,hizo ni hoja za kingese!!!
Wewe ni mume wa Mwanafatuma!!!Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba....
Nyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
ze ndi ndi ndiNyimbo mbaya kama walevi vile wanaimba jumbe wa maana hakuna mpangilio hovyo yani unaumiza masikio tu ni kweli muda wake umeisha asilalale
Hahahaaa mm mwenyewe nimeshangaa Jf kwa hakuna la kuficha huyu itakua ni Ana chuki binafsi na jide au ukute ndo gadena[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hukuanza Leo kumbe