Kwa Wizara ya madini tu

Kwa Wizara ya madini tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi kuyaongezea thamani madini yetu ili kuongeza wigo wa wanunuzi na watumiaji wa madini yetu. Je, hili nalo linahitaji Rais Magufuli awaagize?

Sasa hivi watu wangefurika kununua pete, mikufu, bangili,heleni, nk. Jamani tumsaidie mh. Rais Kwa kujiongeza. Tusisubiri bei za dunia Tu ziko bei ambazo tunaweza kuzipanga wenyewe. Inashangaza hata huku kanda ya ziwa inakotoka dhahabu watu hawavai dhahabu hiyo. Wanabakiziwa mashimo tu
 
Maonyesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wazara haina budi kuyaongezea thamani madini yetu ili kuongeza wigo wa wanunuzi na watumiaji wa madini yetu. Je, hili nalo linahitaji Rais Magufuli awaagize?

Sasa hivi watu wangefurika kununu pete, mikufu, bangili,heleni, nk. Jamani tumsaidie mh. Rais Kwa kujiongeza

Mkuu utakuwa ulisoma English medium!
Unafikiri kizungu unaandika kiswahili, hapo unakuwa unaonekana unaenda mramba kumbe ndo mwendo wako kinyonga Marumbo marumbo.

Hoja Kama hizi zimefanya mjomba asipalilie mikorosho kwa kuwa hakulipwa mwaka Jana.
 
Watu hamjiongezi Kwa nini?
 
Watu hamjiongezi Kwa nini?
Lazima tujiongeze; mambo yameshakuwa si mambo tena, sasa kama mshauri hajui tofauti ya maonyesho na maonesho lazima utilie shaka huo ushauri kwani hautakosa dosari.
 
Unasubiri uuze mapande ya dhahabu Kwa bei utakayopangiwa na mnunuzi kwanini usiuze sehemu ya hiyohiyo dhahabu yako kama pete Kwa bei za jumla na rejareja utakayoipanga wewe huko sabasaba, mlimani city, nk. Hii haihitaji kuwa na elimu kubwa Sana maana hata Ethiopia wanafanya hivyo.
 
Kiuhalisia watanzania walitakiwa wawe wamevaa madini Yao ya dhahabu, silver, tanzanite, gemstones nk Kwa wingi Kwa bei nafuu Sana maana yapo. Wizara inatakiwa iratibu hili ili kupata hela nyingi kuliko kuyauza yote kama ghafi. Kwa madini yetu tunaweza kutengeneza makombe, mikanda na medal za mashindano mbalimbali Afrika na dunia. Tunaweza kutengeneza mikanda ya saa nk. Hii haihitaji rockets sciences.
 
Lazima tujiongeze; mambo yameshakuwa si mambo tena, sasa kama mshauri hajui tofauti ya maonyesho na maonesho lazima utilie shaka huo ushauri kwani hautakosa dosari.
Too cheap argument
 
Kiuhalisia watanzania walitakiwa wawe wamevaa madini Yao ya dhahabu, silver, tanzanite, gemstones nk Kwa wingi Kwa bei nafuu Sana maana yapo. Wizara inatakiwa iratibu hili ili kupata hela nyingi kuliko kuyauza yote kama ghafi. Kwa madini yetu tunaweza kutengeneza makombe, mikanda na medal za mashindano mbalimbali Afrika na dunia. Tunaweza kutengeneza mikanda ya saa nk. Hii haihitaji rockets sciences.
Iwapo tutaona fursa na kuisukumia serikali ifanye, hamna wajasiriamali hapo ni watu wa blahblah mpo pamoja!

Unataka serikali ikuchongee madini, kwa nn usichonge ww ukatuuzia?

Sheria za madini kwetu ni rahisi sana kiasi nashindwa kuelewa mnalalamika nn kwenye keyboard?
 
Ninachoshauri hapa ni zaidi ya wajasiliamali kufanya bali policy ya madini iseme nusu ya madini tutayaongezea thamani yasiuzwe yakiwa ghafi kama ilivyo sasa. Hicho cha wajasiliamali hakitoshi kuifanya Tz kiwe kitovu cha finished products za madini yetu kwakuwa kiasi kikubwa cha madini yetu ama yamehifadhiwa na mabenki au kimeuzwa ulaya, Amerika, au Asia kama ghafi. Hii inasababisha bei ya mazao ya madini hapa nchini kuwa machache na Kwa bei kubwa Sana.
 
Iwapo tutaona fursa na kuisukumia serikali ifanye, hamna wajasiriamali hapo ni watu wa blahblah mpo pamoja!

Unataka serikali ikuchongee madini, kwa nn usichonge ww ukatuuzia?

Sheria za madini kwetu ni rahisi sana kiasi nashindwa kuelewa mnalalamika nn kwenye keyboard?
Hatulalamiki ila tuna shida na think tank letu. Ni rahisi kusikia kuwa bei ya dhahabu imeshuka soko la dunia lakini bei ya pete ya uchumba iko juu vilevile, mtu anayefikiri sawasawa angefanya mipango ya kukusudia kufanya bidhaa bora za tanzanite, dhahabu na madini mengine zinapatikana Kwa wingi Tanzania Kwa bei nafuu ili hata wageni wafunge safari ya kuja Tanzania kununua mikufu mingi inayotokana na madini yetu badala ya kungojea bei ya soko la dunia. Ni watanzania wangapi wangependa wavae gold lakini gold haiko accessible (available and affordable)? Tunaopewa nafasi hizi tufikirie Kwa kupindukia. Ingekuwaje kama mwanza na shinyanga kukawa na masoko makubwa ya bidhaa za mazao ya finished madini yetu, uchumi wao ungepanda Sana badala ya kutegemea pamba na kuuza ng,ombe wazima wazima
 
Back
Top Bottom