kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi kuyaongezea thamani madini yetu ili kuongeza wigo wa wanunuzi na watumiaji wa madini yetu. Je, hili nalo linahitaji Rais Magufuli awaagize?
Sasa hivi watu wangefurika kununua pete, mikufu, bangili,heleni, nk. Jamani tumsaidie mh. Rais Kwa kujiongeza. Tusisubiri bei za dunia Tu ziko bei ambazo tunaweza kuzipanga wenyewe. Inashangaza hata huku kanda ya ziwa inakotoka dhahabu watu hawavai dhahabu hiyo. Wanabakiziwa mashimo tu